Category: Kitaifa

1 150 151 152 153 154 179 1520 / 1785 POSTS
Mwanafunzi ajeruhiwa kisa Mahusiano

Mwanafunzi ajeruhiwa kisa Mahusiano

Mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Mbogi, Wilayani Tarime amejeruhiwa vibaya kwa kisu na kuachwa na majeraha makubwa. [...]
Mwanafunzi wa shule ya msingi ajinyonga

Mwanafunzi wa shule ya msingi ajinyonga

Mwanafunzi wa shule ya Msingi Lukobe, Egdius Edmund mwenye umri wa miaka 13 mkazi wa mtaa wa Tushikamane Manispaa ya Morogoro amekutwa amejinyonga had [...]
Madalali wasema wataendelea kuchukua kodi ya mwezi

Madalali wasema wataendelea kuchukua kodi ya mwezi

Jana (Novemba 15,2021) Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi alipiga marufuku madalali wa nyumba kuchukua kodi ya [...]
Sanaa zilizoibwa miaka 130 iliyopita zarudishwa Afrika

Sanaa zilizoibwa miaka 130 iliyopita zarudishwa Afrika

Mataifa mengi ya barani Ulaya na Marekani kwa miaka mingi yamekuwa yakishikilia sanaa mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika tangu enzi za uko [...]
Huu ndio utajiri wa Paul Makonda

Huu ndio utajiri wa Paul Makonda

Mwaka 2017 sakata la mali zinazodaiwa kuwa  za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makon [...]
Paul Makonda kufikishwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Paul Makonda kufikishwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka. T [...]
Machinga wadaiwa kuvamia Kanisa

Machinga wadaiwa kuvamia Kanisa

Kanisa la Orthodox, Jimbo la Dar es Salaam, limedai kwamba wafanyabiashara ndogo (machinga) wamevamia eneo la Kanisa lao lilipo mtaa wa Salasala katik [...]
Jeshi la Polisi kufanya msako nyumba kwa nyumba

Jeshi la Polisi kufanya msako nyumba kwa nyumba

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limewataka wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kutumia fursa ya mwezi mmoja iliotolewa na ser [...]
Utata wazuka waliofariki ajali ya moto, marehemu adaiwa mahari

Utata wazuka waliofariki ajali ya moto, marehemu adaiwa mahari

Mume na Mke ambao ni miongoni wa watu watano wa familia moja waliofariki kutokana na ajali ya moto mwanza wamezikwa maeneo tofauti kutokana na Mwanaum [...]
Mwalimu wa chekechea adaiwa kuwabaka wanafunzi wake

Mwalimu wa chekechea adaiwa kuwabaka wanafunzi wake

Mwanafunzi mwenye umri wa miaka minne anayesoma shule ya awali Pugu Kichangani, Jijini Dar es Salaam anadaiwa kubakwa na mwalimu wake Sekadi Shabani, [...]
1 150 151 152 153 154 179 1520 / 1785 POSTS
error: Content is protected !!