Category: Kitaifa
TAKUKURU Kuanza kufuatilia Matumizi ya Trilioni 1.3
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa umma na utawala bora, Deogratius Ndejembi ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (T [...]
Samaki aliyevuliwa kwa siri auwa 6 Zanzibar
Jumla ya watu 6 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 11 wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Wilaya ya Micheweni, watu hao wabasadikika [...]
Hati ya mashtaka yanayomkabili Makonda hii hapa
Saed Ahmed Kubenea ambaye mwandishi wa habari na mwanasiasa, amewasilisha maombi ya kufungua kesi dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Pau [...]
Makonda kizimbani Desemba 3
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda anatarajia kufikishwa Kortini tarehe 3 Desemba mwaka huu katika Mahakama ya Hakim [...]
Vivutio vinne (4) vya utalii visivyokuwa na kiingilio Dar
Maana ya utalii ni kutoka na kutembelea sehemu fulani aidha kwa kujifunza au kustarehe tu. Kila mtu ana aina ya vivutio anavyopenda kutembela, wapo wa [...]
Nandy ndani ya Grammy 2022
Huenda ikawa ni mwanzo za kufunguka kwa njia na safari nzuri kwa msanii Nandy kuelekea katika Tuzo za Grammy [...]
Ndugu wamnyonga shangazi yao
Jeshi la polisi Mkoani Mwanza linawashikilia ndugu wawili kwa tuhuma za kumuua shangazi yao Ndimanya Kahindi kwa kumyonga, Ndimanya alikua mkazi wa ki [...]
TAZARA yalaani maiti kutupwa relini
Mamlaka ya reli Tanzania na Zambia (TAZARA) imeelezea kushtuka kutokana na kuwepo kwa matukio ya mara kwa mara ya maiti za watu waliouwawa na watu was [...]
Rais Samia aeleza ukuaji sekta ya fedha
Katika mkutano wa 20 wa taasisi za fedha ulioandaliwa na Benki kuu ya Tanzania (BOT), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu ambaye [...]
Dawa ya usafirishaji binadamu yapatikana
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu sera, Bunge, Ajira , kazi, vijana na watu wenye ulemavu Jenista Mhagama amesema katika kukabiliana na biashara har [...]