Category: Kitaifa
Watayarishaji wa muziki nchini waomba wasanii kuimba nyimbo za kimataifa
Baada ya tangazo kuhusu ushirikiano wa chati za muziki za ‘Billboard’ na application ya ‘Boomplay’, watayarishaji wa muziki nchini wamewasihi wasanii [...]
Bibi amwozesha mwanafunzi kwa mahari ya Nguruwe
Polisi wilayani Nkasi mkoani Rukwa wanamshikilia Kennedy Fumpa mwenye umri wa miaka 37 kwa tuhuma za kuoa mwanafunzi wa darasa la tatu. Kennedy alioze [...]
Rais Samia aahidi umeme kwa vijiji 133 Arusha
Wakati anamalizia ziara yake Arusha leo katika uzinduzi wa kiwanda cha kuchakata nyama cha Elias Food Overseas Ltd na uzinduzi wa mradi wa maji Longid [...]
Agizo la Rais Samia baada ya kutembelea mradi wa maji Arusha
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 15, 2021 ametembelea mradi wa maji wa bilioni 520 unaotekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa M [...]
Mbunge adhamini walimu kutalii mbugani
Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amedhamini ziara ya siku mbili ya walimu wa sekondari na shule za msingi kwenda kutalii kwenye mbuga [...]
Waziri awataka watoa huduma sekta ya utalii kupata chanjo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Damas Ndumbaro amesema watoa huduma kwenye sekta ya utalii nchini wanatakiwa kupata chanjo ya Korona (UVIKO-19) kw [...]
Rais Samia kufanikisha ujenzi wa jengo la tiba ya mionzi KCMC
Katika sherehe za Jubilei ya miaka 50 ya Hospitali ya KCMC, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amesema Serikali itasimamia utekelezaji wa ahadi yake ya ku [...]
Kauli ya RC Makalla siku 3 kabla ya zoezi la kuondoa machinga
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amosi Makalla amewataka wafanyabiashara wadogo maarufu kama Machinga kutumia vizuri siku tatu zilizosalia kuhamia kwenye [...]
Sabaya na wenzake kukata Rufaa
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanatarajia kukata rufaa baada ya kutoridhishwa na hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hak [...]
Sabaya alivyoachiwa huru na Mahakama kwa kujifanya Afisa usalama
Sabaya alivyoachiwa huru na Mahakama kwa kujifanya Afisa usalama
Agosti 2016 Polisi mkoani Arusha walimkamata aliyekuwa Diwani wa Kata ya Sambasha [...]