Category: Kitaifa
Akamatwa akiwa amemeza kete 101 za dawa za kulevya
Jeshi la Polisi visiwani Zanzibra linamshikilia Rashid Habib Muhsin (53) baada ya kumkamata akiwa amemeza kete 101 dawa za kulevya aina ya 'heroin'.
[...]
Wafukua kaburi la mwenye ualbino na kuondoka na viungo
Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Tanga kwa madai kufukua kaburi la kijana mmoja mwenye ualbino na kutoweka na jeneza na mabaki ya m [...]
Dalali pokea simu, Dereva tumejaa
Nikiwa nimekaa kwenye kibanda cha kupaka rangi kucha maeneo ya Mwenge-Mpakani alikuja msichana mmoja aliyekuwa ameloa chapachapa kutokana na mvua kubw [...]
Mwanafunzi bora nchini na ndoto za kuwa ‘Usalama wa Taifa’
Eluleki Haule kutoka shule ya St Anne Marie Academy aliyeibuka kama mwanafunzi bora kitaifa kwenye matokeo ya darasa la Saba amesema ndoto yake ni kuw [...]
Watatu washikiliwa, kufukua kaburi la Albino
Jeshi la Polisi mkoani Tanga linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa madai ya kufukua mwili wa kijana mwenye ualbino, Heri Kijangwa aliyekuwa n [...]
Mafanikio ya ziara ya Waziri January Makamba Uarabuni
Wizara ya Nishati imetoa taarifa kuhusu ziara iliyofanywa na Waziri January Makamba kuanzia tarehe 22 hadi 29 Oktoba 2021 katika nchi tatu (Saudi Ara [...]
Tafakuri: Rais Samia anarudia yale yale!
Katika medani ya kimataifa, kila Taifa duniani lina namna yake ya kushirikiana na mataifa mengine katika kuhakikisha kuwa Taifa linapata maslahi yake. [...]
Milioni 10 kwa atakayempata Rubani aliyepotea
Shirika la Ndege la PAMS, limetangaza donge nono la shilingi milioni 10 kwa mtu atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa rubani Samwel Gibuyi [...]
Machinga Dar es Salaam wakumbushwa bado siku 1 tu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amesema kuwa ifikapo siku ya kesho ndio mwisho kwa wanaofanya biashara kwenye maeneo yaliyokatazwa kut [...]
Flashi yaleta mvutano kesi ya Sabaya
Hapo jana kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomakabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake, kulitokea mvutano wa kisheria kuf [...]