Category: Kitaifa
January Makamba aanza na TANESCO
Waziri wa wa Nishati, January Makamba (MB) amefanya ziara fupi kwenye kituo cha udhibiti wa mfumo wa usafirishaji umeme (GCC) kilichopo Ubungo jijini [...]
Songea namba 7 miji inayokua kwa kasi zaidi duniani
Ifikapo mwaka 2025 idadi ya watu duniani inakadiriwa itafika bilioni 8.1. Katika kipindi hiki miji mingi barani Ulaya imekuwa ikikua kwa kasi ndogo, l [...]
IGP Sirro afanya mabadiliko makamanda wa polisi
IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa kwa ajili ya kuboresha utendaji wa kazi za Polisi.
[...]
Makalla ataja maeneo matano watakayoanza kuwaondoa Machinga
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla amekutana na uongozi wa wafanyabiashara wadogo wadogo (Machinga) wa mkoa huo ili kutafuta njia bora ya kuw [...]
Yafahamu mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi Afrika
Mtandao wa Global Firepower kupitia utafiti wake umeorodhesha uwezo wa kila jeshi barani Afrika kulingana na idadi ya wanajeshi, uwezo wake wa angani, [...]
Madaktari wapendekeza chanjo ya UVIKO-19 iwe lazima
Katika kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19, waganga wakuu wa mikoa wameishauri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watot [...]
Sababu 5 za Rais wa CWT kusimamishwa kazi
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimemsimamisha kazi Rais wa chama hicho, Leah Ulaya kutokana na masuala mengi ikiwamo kushindwa kuwaunganisha walimu m [...]
Serikali yatoa tahadhari homa ya uti wa mgongo
Serikali imewataka Watanzania kuchukua tahadhari kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo uliotokea katika jimbo la Tshopo nchini DRC Cong [...]
Toyota IST hatarini Dar es Salaam
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amewataka wamiliki wa magari aina ya Toyota IST kuongeza ulinzi kwenye magari yao kufu [...]
Mfahamu mfanyabiashara James Rugemalira
Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imemwachia huru mfanyabiashara James Rugemalira baada ya kukaa mahabusu kwa muda wa miaka mi [...]