Category: Kitaifa

1 184 185 186 187 188 198 1860 / 1979 POSTS
Serikali: Wafanyabiashara wadogo watengewe maeneo yanayofikika

Serikali: Wafanyabiashara wadogo watengewe maeneo yanayofikika

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa kuzisimamia Halmashauri nchini ili kuhakikisha zinaandaa maeneo mazuri yanayofikika [...]
Boss Shell, apongeza maboresho mazingira ya uwekezaji Tanzania

Boss Shell, apongeza maboresho mazingira ya uwekezaji Tanzania

'Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya mtandao na Ben Van Beurden, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Dutch Shell yenye makao yake mak [...]
Soma hapa ufafanuzi wa TANESCO kukosekana huduma ya LUKU

Soma hapa ufafanuzi wa TANESCO kukosekana huduma ya LUKU

Hitilafu imetokea kwenye mfumo wa ununuzi wa umeme wa LUKU wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), hivyo kusababisha wateja kushindwa kupata huduma hi [...]
Maagizo ya Serikali kwa mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania

Maagizo ya Serikali kwa mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza mabalozi wa Tanzania nje ya nchi waimarishe biashara na nchi wanapokwenda kwani wana jukumu la kukuza uchumi wa [...]
Majaliwa amwakilisha Rais kwenye mazishi ya Ole Nasha

Majaliwa amwakilisha Rais kwenye mazishi ya Ole Nasha

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Samia Suluhu katika mazishi ya aliyekuwa Mbunge Ngorongoro na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu [...]
Taarifa ya serikali kuhusu kamati inayochunguza kupanda bei za mafuta

Taarifa ya serikali kuhusu kamati inayochunguza kupanda bei za mafuta

Kamati iliyoundwa kuchunguza kupanda kwa bei ya mafuta (petroli, dizeli na mafuta ya taa) imewasilisha ripoti yake kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. [...]
Saba wafariki ajalini Dodoma

Saba wafariki ajalini Dodoma

Watu saba wamefariki katika ajali iliyotokea kwenye Mlima Kolo, Kata ya Kolo, wilayani Kondoa mkoani Dodoma leo asubuhi baada ya basi la Emigrace (T 7 [...]
BAKWATA yapoteza umiliki wa ekari 40

BAKWATA yapoteza umiliki wa ekari 40

Mahakama Kuu Morogo Kitengo cha Ardhi imefulia mbali uamuzi wa Baraza la Ardhi na Makazi la Wilaya ya Kilombero uliotoa haki ya uamiliki wa ekari 40 z [...]
Wanakijiji wapiga mawe gari la Mkuu wa Wilaya

Wanakijiji wapiga mawe gari la Mkuu wa Wilaya

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela ameagiza kukamatwa baadhi ya wanakijiji cha Engaroji kuwa kupiga mawe gari ya Mkuu wa Wilaya ya Monduli. Wanak [...]
1 184 185 186 187 188 198 1860 / 1979 POSTS
error: Content is protected !!