Category: Kitaifa
Rais Samia Suluhu kuongoza Mkutano wa kujadili mgogoro wa DRC
Dar es Salaam – Rais wa Kenya, William Ruto, amethibitisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, na Rais wa Rwanda, P [...]
Rais Samia Kupokea Tuzo ya Gates Goalkeepers kwa Uongozi Bora katika Afya
Dar es Salaam – Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kupokea The Gates Goalkeepers Award, tuzo inayotolewa na Bill & Melinda Gates F [...]
Mahakama itachochea utekelezaji wa Dira ya Maendeleo 2050
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Mahakama ya Tanzania itakuwa na mchango katika kuiwezesha nchi kufikia malengo ya maendeleo kama yalivyobainishwa kwe [...]

Sera ya Elimu na Mafunzo kutengeneza jamii yenye vijana watakaoweza kujiajiri na kukuza uchumi
Serikali ya Tanzania imezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 itakayochochea mabadiliko katika mifumo ya elimu nchini yata [...]
TRA yaahidi kuendelea kutekeleza maagizo ya Rais Samia
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda akiwa katika maadhimisho ya siku ya Mlipakodi Jijini Dar es Salaam amesema ku [...]
Wajumbe washinikiza kuendelea na Samia na Mwinyi
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM wameshinikiza chama hicho kuwapitisha kwa kauli moja Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na Ra [...]
Wafanyabiashara wakimbilia fursa SGR
BAADHI ya wafanyabiashara wamejitokeza kwa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutaka wawe wanasafirishiwa mizigo yao kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma waka [...]
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Wenyeviti wa Bodi na kumpangia [...]
Umeme nyumba kwa nyumba
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea na kampeni yake ya nyumba kwa nyumba ya kutoa elimu kuhusu faida na matumizi ya umeme pamoja na kuhamasish [...]

Rais Samia azindua hoteli iliyozalisha ajira 400 kwa wazawa
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar yenye hadhi ya n [...]