Category: Kitaifa

Serikali yatangaza nafasi za ajira 3,633 za ualimu
Serikali ya Tanzania imetangaza ajira 3,633 za walimu wa masomo mbalimbali ikiwemo ya Biashara, Ushonaji, Uashi, Umeme, Ufundi magari, Uchomeleaji na [...]

Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,548
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1,548 kwa vigezo mbalimbali ambapo 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024 na 1,526 [...]

Rais Samia: Kwaheri Dkt. Ndugulile
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi [...]

Rais Samia kuunda tume ya uchunguzi Ngorongoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ataunda Tume mbili ambapo moja itachunguza na kutoa mapendakezo kuhusu masua [...]

Ufafanuzi kupotea kwa Abdul Nondo
JESHI la Polisi limefafanua kuwa linaendelea na ufuatiliaji wa tukio la kupotea kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul No [...]

Rais Samia amlilia Dkt. Ndugulile
Aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Faustine Ndugulile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo alipokuwa [...]

Rais Samia: Maamuzi ya wapiga kura yaheshimiwe
Rais Samia Suluhu Hassan amehimiza kuheshimiwa kwa maamuzi ya wapiga kura akieleza kwamba demokrasia yenye nguvu hujengwa kwa misingi ya heshima na ms [...]

Takukuru Mwanza yakemea rushwa kipindi cha uchaguzi
Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza imewaonya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za M [...]

Rais Samiaa aagiza kufungwa eneo maafa yalipotokea Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza eneo la biashara ambalo ghorofa lilianguka Novemba 16, Kariakoo Dar es Salaam, lifungwe na kusiwe na biashara yoyote [...]

Rais Samia: Hongera Stars
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kufuzu kushiriki Mashindano [...]