Category: Kitaifa
Kilwa kuwa bandari kubwa ya uvuvi Afrika Mashariki
Wilaya ya Kilwa iliyopo mkoani Lindi ni maarufu sana duniani kutokana na historia yake ya magofu ya kale na yenye vivutio vingi vya utalii.
Mji huo [...]
Namibia, Botswana zafuta sharti la paspoti
Viongozi wa Botswana na Namibia wametia saini makubaliano ambayo yatawaruhusu raia wao kuvuka mpaka wa nchi hizo mbili bila hitaji la hati za kusafiri [...]
Falme za Kiarabu na Tanzania kuanza usambazaji wa mbolea kimkakati
Huenda uhaba wa mbolea unaowakumba wakulima wa Tanzania utapungua siku za hivi karibuni baada ya wawekezaji kuonyesha nia ya kuimarisha mfumo wa usamb [...]
Gesi asilia ya Mtwara kusambazwa malawi
Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole amesema mazungumzo kati ya Tanzania na Serikali ya Malawi ya Tanzania kuiuzia gesi asilia inayozal [...]
Vijana 812 wachaguliwa kujiunga programu ya kilimo
Vijana 812 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo maalumu ya Kilimo yanayoratibiwa na Wizara ya Kilimo.
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametangaza majin [...]
R. Kelly ahukumiwa miaka 20 jela
Mwimbaji wa Marekani Robert Kelly, maarufu R. Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono.
Kesi zisizoisha zim [...]
Uwanja wa Mkapa kufungwa kwa mwezi mmoja
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limeshauri Uwanja wa Benjamini Mkapa uliopo jijini Dar es Salaam kutotumika kwenye mechi zao kwa kile kilichoelezwa u [...]
Milioni 5 kila goli mechi zote za CAF
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ahadi ya kununua magoli yatakayofungwa na Simba SC na Yanga kwenye mashindano ya kimataifa iliyowekwa [...]