Category: Kitaifa
Mnada wa chai kuanza, serikali yaondoa tozo
Mnada wa zao la chai nchini unaotarajiwa kuanza kufanywa jijini Dar es Salaam mwaka huu, huku serikali ikitangaza neema kwa wakulima kwamba hautakuwa [...]
Wahadzabe, Wadatoga wapinga tozo
Jamii ya Wahadzabe na Wadatoga wanaoishi wilayani Karatu katika Mkoa wa Arusha, wametishia kuyahama makazi yao kwa kuwa halmashauri ya wilaya hiyo ime [...]
Bashe aagiza kukamatwa waliotupa parachichi
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameagiza kukamatwa kwa mmiliki wa Kampuni ya Candia Fresh pamoja na kuifunga kampuni hiyo, kwa kile alichoeleza kuwa i [...]
Kirusi kipya cha Uviko-19
Ingawa si jambo linalozungumzwa sana kwa sasa, lakini wasiwasi unaendelea kuongezeka kwa wanayansi ambao wanajaribu kutafuta ufumbuzi wa kukabiliana [...]
Mita 111 za maji zajazwa Bwawa la Nyerere
Serikali imesema hadi jana asubuhi, mita za maji 111 juu ya usawa wa bahari zilikuwa zimejazwa katika mradi wa kuzalisha megawati 2,115 za umeme kwa m [...]
Fahamu kuhusu asali
Wengi wetu tumezoea asali kwa matumizi ya kula lakini kama ulikua hujui pia ni tiba ya ngozi pamoja na kuzui chunusi.
Kutokana na uwezo wa asali ku [...]
Dar Group Hospital chini ya usimamizi wa Serikali
Serikali imechukua usimamizi wa Hospitali ya Dar Group na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametangaza kuwa Hospitali hiyo sasa itasimamiwa na Taasisi ya Mo [...]
Sekretarieti mpya ya CCM
Katibu Mkuu- Daniel Chongolo
Naibu Katibu Mkuu - Bara, AnaMringi Macha
Naibu Katibu Mkuu- Zanzibar- Mohamed Said Dimwa
Katibu Itikadi na Uene [...]
Waliotimiza miaka 18 kupatiwa chanjo ya Uviko-19
Serikali imesema itaanza kuwafikia vijana ambao hawakuwa wamefikisha umri wa kupata chanjo ya Uviko-19 tangu zoezi hilo lianze miaka mitatu iliyopita [...]
Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro
Watu 48 wameokolewa katika mafuriko na kuhifadhiwa ofisi ya Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro kupatiwa msaada wa dharura na serikali, kufuatia mvu [...]