Le Mutuz afariki dunia

HomeKitaifa

Le Mutuz afariki dunia

Mmiliki wa ‘Le Mutuz’ Blog, William Malecela, maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msanii Steve Nyerere.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Steve Nyerere (@stevenyerere2)

error: Content is protected !!