Category: Kitaifa
Ziara ya Rais Samia Qatar inavyoleta matunda mema nchini
Inafahamika kwamba huwezi kufanikiwa na kusonga mbele ukiwa peke yako, lazima ushirikiane na watu ili uweze kupata ujuzi zaidi na maarifa yatakayokusa [...]
Mapato ya uwindaji kitalii yapaa mara mbili zaidi
Mapato yatokanayo na shughuli za uwindaji wa kitalii nchini Tanzania yameongezeka zaidi ya mara mbili ndani ya kipindi cha mwaka mmoja, huku yakitazam [...]
Mabilioni ya Benki ya Dunia kuifanya Jangwani kuwa ya kijani
Benki ya Dunia imetoa mkopo wa Dola za Marekani milioni 200 (Sh bilioni 466.387) kugharamia mradi wa Bonde la Msimbazi ili kuepuka mafuriko na kuliwez [...]
Majaliwa awaita wawekezaji kuja nchini
Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amewataka wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwenye sekta ya utalii, kwa sababu ya amani na utulivu na kwamba Watanzania ni [...]
Kila la heri darasa la saba
Watahiniwa milioni 1.4 wa darasa la saba wanatarajia kuanza mitihani ya kumaliza elimu ya msingi leo, ikiwa ni daraja muhimu kujiunga na sekondari.
[...]
Bei ya mafuta yashuka
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini.
Bei hizi zitaanza kutum [...]
Vibanda umiza kusajiliwa na serikali
Bodi ya Filamu Tanzania imeanza uhakiki wa vibanda umiza vilivyopo mtaani lengo ni kuvisajili na kuweka utaratibu wa undeshaji.
Pia wameunda Kamati [...]
TCU yaongeza muda wa udahili vyuoni
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefungua dirisha awamu ya nne na ya mwisho ya udahili wa wanafunzi wa elimu ya juu litakalokuwa wazi kwa muda wa si [...]
Kampuni 34 kutoka Misri zafuata fursa Tanzania
Jumla ya kampuni 34 kutoka Misri zimeshiriki Mkutano wa Kibiashara jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutafuta fursa za uwekezaji na biashara zilizopo [...]
Mradi wa gesi LPG kuanza mwaka huu
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema mradi wa kuchakata gesi asilia mita za ujazo bilioni 4.6 na bidhaa nyingine ya gesi ya kupikia (LPG), unata [...]