Category: Kitaifa
AYO TV washushiwa rungu na TCRA
Televisheni ya mtandaoni ya Millard Ayo (AYO TV) inatakiwa kuomba radhi siku tatu mfululizo baada ya kuchapisha maudhui yanayoonyesha miili ya watoto [...]
Bei ya mbolea yashuka baada ya ruzuku ya Serikali
Huenda maadhimisho ya Nane Nane ya mwaka huu yatawapatia wakulima matumaini mapya katika msimu mpya wa kilimo baada ya Serikali kuzindua mpango wa ruz [...]
Chuo cha VETA kujengwa Rungwe
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Wilaya ya Rungwe kutafuta eneo la zaidi ya Hekari 20 kwa ajili ya kuan [...]
Aamuru mwanafunzi kurudishiwa kitambulisho chake
Baada ya kutolewa kwa taarifa kuhusu mwanafunzi wa Chuo cha Seriali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) aliyekuwa akiangaik [...]
Kutoonekana kwa Kizz Daniel, chanzo ni begi la nguo
Sababu zilizopelekea Kizz Daniel kutokupanda kwenye jukwaa la Summer ambalo huandaliwa na kampuni ya Sre8vibes kutoka nchini Tanzania zinadaiwa kuwa n [...]
Watumishi Tanga wamshukuru Rais Samia kwa nyongeza ya 23.3%
Watumishi wa Serikali Mkoani Tanga wamemshukuru Rais Samia Suluhu kwa nyongeza ya mishahara ambao umekwenda sambamba na upandishaji wa madaraja jambo [...]
Rais Samia chanzo cha ongezeko la mapato
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Innocent Bashungwa amesema kumekuwa na ongezeko la ukusanyaji wa mapato katika Mamlaka za Serikali za Mitaa kufu [...]
Rais Samia anavyomaliza tatizo la maji nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuboresha huduma za afya na maji katika maeneo mba [...]
Panga Pangua ya Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameteua maafisa 22 kuwa Majaji wa Mahakama Kuu kama ifuatavyo
1. Kevin David Mhin [...]
AD Ports Group na Adani Ports na SEZ Ltd zimesaini mkataba wa makubaliano ya uwekezaji wa miundombinu nchini Tanzania
AD Ports Group, kampuni ya huduma za majini imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na Adani Ports na SEZ Ltd, kampuni kubwa kwenye uwekezaji wa kimkaka [...]