Category: Michezo
Rais Samia awapongeza Yanga SC
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, ameipongeza klabu ya Yanga kwa kufanikiwa kuingia kwenye hatua ya makundi ya mashindano ya kombe la shirikisho barani [...]
Bye Bye Dejan ‘Mzungu’
Mchezaji wa kigeni kwenye klabu ya Simba, Dejan Georgijevic amethibitisha kuvunjika kwa mkataba kati yake na klabu hiyo ya wekundu wa msimbazi taarifa [...]
Mwamuzi pambano la Mandonga asimamishwa
Mwamuzi Habibu Mohammed aliyechezesha pambano la Karim Mandonga na Salim Abeid amesimamishwa na Chama cha Waamuzi wa Ngumi nchini kwasababu ya kucheze [...]
Morrison alimwa faini
Winga wa Yanga, Bernard Morrison amelimwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda ambaye alikuw [...]
TFF yapitisha usajili wa Kisinda Yanga
Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
[...]
Busara yatumika kupunguza faini ya Manara
Kamati ya rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF leo imetangaza kumpunguzia adhabu Msemaji wa Yanga Haji Manara kutoa milioni 20 ya faini aliyotaki [...]
Shabiki wa Yanga SC afariki
Uongozi wa Klabu ya Yanga na Kamati ya Utendaji chini ya Rais Eng.Hersi Said umesema umepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya Mashabiki wa Yanga wa [...]
Yanga SC yashangazwa kutoalikwa mkutano wa CAF
Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema umeshangazwa kwanini hawakupewa mwaliko wa kuudhuria mkutano wa 44 wa Shirikisho la CAF.
Kaimu Ofisa Mtendaji Mku [...]
Ujumbe kwa Simba na Yanga kutoka Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa amezipongeza na kuzitaki kila heri timu za Simba na Yanga kuelekea mchezo wao wa [...]
Jezi mpya za Simba SC
Hatimaye klabu ya Simba Leo imezindua jezi zake za msimu mpya kuelekea tamasha la Simba Day kesho Agosti 8,2022 litakalofanyika Uwanja wa Benjamin Mka [...]