Category: Michezo

1 3 4 5 6 7 15 50 / 147 POSTS
Nabi amtamani Msuva

Nabi amtamani Msuva

Simon Msuva yupo nchini tangu mwaka jana baada ya kuzinguana na timu yake ya Wydad Casablanca ya Morocco na kupelekana Fifa, ila juzi alifunga mabao m [...]
Serengeti Girls yafuzu Kombe la Dunia

Serengeti Girls yafuzu Kombe la Dunia

Timu ya taifa ya Wanawake chini ya miaka 17 ya Tanzania, Serengeti Girls imefuzu kucheza fainali ya Kombe la Dunia 2022 nchini India. Ushindi huo w [...]
Pablo atemwa na Simba

Pablo atemwa na Simba

Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo Pablo Franco Martin. Katika kipindi chake koc [...]
Atupa lawama kwa bodi

Atupa lawama kwa bodi

Mmiliki wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji ametupia lawama kwa bodi ya timu hiyo baada ya kupoteza mchezo wa nusu fainali dhidi ya Yanga leo Mei 28, 202 [...]
Maeneo 7 Tanzania kuonesha fainali za UEFA

Maeneo 7 Tanzania kuonesha fainali za UEFA

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema mechi ya fainali ya 67 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya(Uefa Champions League Fainal 2022) [...]
SIMBA: Kila la heri Morrison

SIMBA: Kila la heri Morrison

Taarifa kwa Umma kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba iliyowekwa kwenye ukurasa wa klabu hiyo ya twitter inasema kwamba; Klabu ya Simba [...]
Wanamitindo wanaolipwa zaidi duniani

Wanamitindo wanaolipwa zaidi duniani

Umewahi kujiuliza ni kiasi gani cha wanamitindo wanapata? Basi sio lazima ujiulize tena, hapa Clickhabari tumekuandalia orodha ya wanamitindo wanaolip [...]
Tanzania yalisogelea Kombe la Dunia

Tanzania yalisogelea Kombe la Dunia

Katika mechi ilivyochezwa usiku wa jana kuwania kufuzu Kombe la Dunia katika dimba la Amaan huko Zanzibar kati ya Timu ya Taifa ya Wanawake U17 (Seren [...]
Shabiki wa Simba afariki kisa Mayele

Shabiki wa Simba afariki kisa Mayele

Mkoani Singida shabiki wa timu ya Simba amefariki dunia baada ya kuzimia kufuatia shuti la mchezaji wa Yanga, Fiston Mayele lililokosakosa goli kwenye [...]
Mo Salah aibuka mchezaji bora

Mo Salah aibuka mchezaji bora

Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah amechaguliwa kuwa Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Soka kwa 2021/22. Salah, 29, amechangia [...]
1 3 4 5 6 7 15 50 / 147 POSTS
error: Content is protected !!