Diva atangaza tarehe ya harusi yake

HomeBurudani

Diva atangaza tarehe ya harusi yake

Mtangazaji wa Kipindi cha Lavi Davi, Diva ametangaza rasmi kuwa shere ya harusi yake na Sheikh Abdulrazak Salum ni mwezi wa tatu tarehe 3 mwaka huu na inatarajiwa kufanyika pembezoni mwa bahari.

Sherehe hiyo inatarajiwa kuhudhuriwa na watu maarufu 100 na wafanyabiashara wakubwa 100 na baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Diva Aysèn Gissèle (@divatheebawse)

Aidha taarifa hiyo ameitoa Diva kupitia ukurasa wake wa Instagram na kumalizia kwakuwaambia waandishi wa habari kwamba kesho atatoa ratiba kamili kuhusu sherehe hiyo.

 

error: Content is protected !!