Majizzo: Huyu ni mtu

HomeBurudani

Majizzo: Huyu ni mtu

Mmiliki wa kampuni binasfi ya E-FM Limited inayomiliki kituo cha televisheni cha TV E na Redio (E-FM), Francis Antony Ciza maarufu kama Majizzo amemkingia kifua msanii wa bongo fleva, Harmonize kuhusu suala lake la kutaka kurudiana na Kajala.

Majizzo amesema kwamba, yeye anamuelewa Harmonize kuwa ana nia njema ya kurudiana na aliyewahi kuwa mpenzi wake, Kajala huku akieleza kwamba yupo tayari kuungana naye ili aweze kurudiana naye na kufungua ndoa.

Pia, amewataka Watanzania kumsaidia Harmonize katika hili kwani anaonyesha hadharani kwamba alifanya makosa na sasa anaomba msamaha, hivyo kabla ajachukua maamuzi magumu ni vyema akapata msaada wa haraka.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Majizzo aliandika haya;

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Professor (@majizzo)

error: Content is protected !!