DJ Khaled atunukiwa nyota ya heshima

HomeBurudani

DJ Khaled atunukiwa nyota ya heshima

Jana Aprili 11,2022 DJ Khaled ametunukiwa nyota ya heshima kwenye Hollywood Walk of Fame akiwa ni mtu wa 2,719 kukabidhiwa  tangu kuanza kwa Walk Of Fame mwaka 1961.

Katika hafla hiyo, DJ Khaled aliambatana na familia yake huku akisindikizwa na marapa maarufu duniani, Fat Joe, Diddy pamoja na Jay Z.

Fat Joe, Diddy, Dj Khaled na Jay Z

error: Content is protected !!