Dully Sykes aeleza kinachomsibu Profesa Jay

HomeBurudani

Dully Sykes aeleza kinachomsibu Profesa Jay

Msanii nguli wa bongofleva Dully Sykes a.k.a Mr Misifa ameeleza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa mwanamuziki na aliyewahi kuwa mbunge wa Mikumi, Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay ni mgonjwa takribani wiki ya 3 sasa na bado anaendelea na matibabu katika Hospotali ya Taifa ya Muhimbili.

Dully Sykes amewataka mashabiki na watanzania kwa ujumla kujitolea na kumchangia fedha zitakazo saidia matibabu ya Profesa Jay huku akieleza  kwamba taarifa zinaonyesha gharama za matibabu kwa wiki ni shilingi milioni 4.

 

error: Content is protected !!