Fahamu jinsi uke wenye afya unavyonukia

HomeElimu

Fahamu jinsi uke wenye afya unavyonukia

Ni lazima uke utoe harufu lakini inabidi uwe makini na aina ya harufu inayotoka kama ni nzuri au mbaya.

Ukiona uke wako unatoa harufu kama ya samaki aliyeoza au mnyama aliyekufa basi tambua una tataizo na chukua hatua ya kwenda kumuona daktari.

Epuka kujipulizia marashi au kutumia sabuni kwenye uke wako hili kuondokana na harufu hiyo na badala yake fanya yafuatayo:

  • Kojoa baada ya kushiriki tendo la ndoa
  • Vaa nguo safi za ndani
  • Epuka kutumia sabuni zenye manukato ukiwa unasafisha uke
  • Hakikisha unaoga baada ukitokwa na jasho
  • Badili nguo yako ya ndani mara kwa mara
  • Vaa nguo za ndani zisizobana
  • Epuka kuwa na wenza wengi

 

error: Content is protected !!