Kili Paul ndani ya La Liga

HomeBurudani

Kili Paul ndani ya La Liga

Kili Paul maarufu kama Mmasai wa Tiktok ni kijana anayefahamika kwenye mitandao ya kijamii kutokana na uwezo wake wakufuatisha maneno kwenye video zake jambo linalowafurahisha watu wengi na kumfanya kujionyakulia watazamaji wapya kila kukicha.

Siku ya jana Machi 22,2022 ukurasa wa Instagram wa La Liga uliweka video ya Kili Paul akiwa anacheza na mpira huku nyuma zikionekana jezi za timu za ligi hiyo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by LaLiga (@laliga)

Hii sio mara ya kwanza kwa Kili kuonekana kwenye kurasa maarufu au kutambulika ikumbukwe kuwa alishawahi kuitwa na balozi wa India nchini Tanzania baada ya kusambaa kwa video yake iliyokuwa ikimunyesha akiimba na kufatisha nyimbo za kihindi kwa ufasaha.

error: Content is protected !!