Hatimaye Rihanna amepata mwenza ambaye anamfanya ajione kama msichana pekee kwenye dunia hii kama asemavyo katika wimbo wake wa ‘Only girl in the world’, naye si mwingine bali ni rapa A$AP Rocky na hivi karibuni wawili hao wametangaza kuwa wanatarajia mtoto.
Walakini, kabla ya kuchumbiana na rapa huyo, mbunifu wa Savage X Fenty aliwahi kuwa katika mahusiano na baadhi ya watu kama;
Chris Brown (2007- 2013)

Matt Kemp (2009-2010)

Karim Benzema (2015-2017)

Lewis Hamilton (August 2015)

Travis Scott

Leonardo DiCaprio
Drake (2016-2018)

Hassan Jameel (2017-2020)

A$AP Rocky (2020- to date)




