Jaden aungana baba yake

HomeBurudani

Jaden aungana baba yake

Mtoto wa Will Smith anayefahamika kwa jina la Jaden Smith, ameonyesha kuunga mkono kitendo alichofanya baba yake usiku wa Tuzo za Oscar, baada ya Will kumpiga kibao mshehereshaji wa tukio hilo, Chris Rock.

Will alimfata na kumchapa kibao Chris Rock akiwa stejini baada ya kuongea maneno ya utani kwa mke wa Smith, Jada Pinkett Smith.

Baada ya tukio hilo Jaden aliandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa twitter ulisema hivi ndivyo tunavyofanya.

error: Content is protected !!