Juhudi za Rais Samia zapandisha uchumi wa Tanzania

HomeKitaifa

Juhudi za Rais Samia zapandisha uchumi wa Tanzania

Uchumi wa Tanzania umeongezeka kwa zaidi ya Dola za Marekani bilioni 16.02 katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na kuifanya kushika nafasi ya sita kwa uchumi mkubwa kwa nchi za Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Uchumi wa Tanzania kwa sasa unazidi baadhi ya mataifa barani Ulaya. Taarifa ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeonesha Uchumi wa Tanzania umefikia Dola bilioni 85.42 mwezi Aprili 2023 kutoka Dola bilioni 69.4.

1. Nigeria $506.6 billion
2. South Africa $399 billion
3. Ethiopia $156 billion
4. Kenya $118.1 billion
5. Angola $117.8 billion
6. Tanzania $85.4 billion
7. Còte d’Ivore $77 billion
8. DRC $69.4 billion
9. Ghana $66.6 billion
10. Uganda $49.7 billion

 

 

error: Content is protected !!