Kajala amuingiza studio Harmonize

HomeBurudani

Kajala amuingiza studio Harmonize

Baada ya kutumia mbinu mbalimbali ili kuweza kumrudisha Kajala katika maisha yake, msanii na mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize ameamua kuingia studio na kurekodi wimbo unaoachiwa leo saa mbili usiku utakao elezea mambo mengi kuhusu mapenzi yake kwa Kajala.

Kupitia Ukurasa wake Instagram, Harmonize ameandika waraka kwenda kwa Kajala akizielezea sababu kuu tatu za kwanini bado anataka kurudiana naye;

 

View this post on Instagram

 

A post shared by KONDEBOY (@harmonize_tz)

 

error: Content is protected !!