Leo katika historia: Kikao cha kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kinatangaza Oktoba 5 kuwa Siku ya Walimu Duniani

HomeElimu

Leo katika historia: Kikao cha kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kinatangaza Oktoba 5 kuwa Siku ya Walimu Duniani

Mwaka 2012: Kampuni ya Anglo Platinum Limited ya Afrika Kusini, imewaachisha kazi wafanyakazi wake 12,000 baada ya kufanya mgomo kazini. Hii ndiyo kampuni kubwa duniani inayozalisha madini ya platinum.

Siku kama ya leo 05, Oktoba mwaka 1994 ilitangazwa kuwa Siku ya Kimataifa ya Walimu duniani katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kilichofanyika tarehe 03 hadi 08 mwezi Septemba mwaka 1994 kwa ajili ya kuenzi mchango wa walimu na nafasi yao kubwa katika jamii.

Mwaka 1991: Ndege ya mizigo ya jeshi yaanguka na kuua watu 133 katika jiji la Jakarta nchini Indonesia. Ndege hiyo ilipata tatizo hilo wakati wa kuruka huku chanzo kikiwa moto kwenye injini.

error: Content is protected !!