Lil Nas abadilika baada ya Grammy’s

HomeUncategorized

Lil Nas abadilika baada ya Grammy’s

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, lil Nas X amesema anaacha na ushoga rasmi baada ya kushindwa kupata tuzo yoyote siku ya ugawaji wa tuzo za Grammy.

Ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa twitter jambo lililowashtua wengi kwani hawakutegemea kama angeweza kusema hivyo.

Lil Nas X amewahi kutamba na ngoma yake ya Old Town Road iliyomuwezesha kushinda tuzo ya Grammy’s 2021 na albamu yake kuibuka kuwa albamu bora ya msanii chipukizi.

 

error: Content is protected !!