Mange Kimambi afutiwa akaunti

HomeBurudani

Mange Kimambi afutiwa akaunti

Account ya mange Kimambi iliyokuwa na wafuasi zaidi ya Million 6 imefutwa na Instagram kutokana na Kuvunja sheria za Instagram.

Kupitia akaunti yake nyingine Mange ameandika taarifa ifuatayo.

“Account yangu imefutwa kutokana na posti ya juzi ya Madam wa uturuki, posti ilijaa maneno makali. Tupo kwenye maongezi na Instagram. Maongezi yakishindikana itabidi niende ofisini kwao nikalie Ki Africa.” imeandikwa taarifa hiyo.

error: Content is protected !!