Mapenzi ya kweli yapo, baada ya kupooza mwili mzima, afungia ndoa kitandani

HomeKimataifa

Mapenzi ya kweli yapo, baada ya kupooza mwili mzima, afungia ndoa kitandani

Terkimbir Benjamini Tyough mwenye umri wa miaka 45 hatimaye amefunga ndoa a mpenzi wake wa muda mrefu ambaye amefanikiwa kuzaa na watoto watatu. Terkimbir yeye ni mtaalamu wa masuala ya umeme, machi mwaka huu alipata ajali baada ya kuanguka kutoka kwenye nguzo ya umeme na kuvunja uti wa mgongo. Terkimbir anaomba jamii imchangie shilingi milioni 10 kutibu jeraha kwenye uti wake wa mgongo.

Mchungaji alifungisha ndoa hiyo amesema kuwa kitendo hicho kinaakisi mapenzi ya dhati, huku akiwarai raia wa Nigeria kwa moyo mmoja kuchanga fedha ili mwenzao aweze kutembea tena huku wakiendelea kumuombe kwa Mungu.

Baada ya ndoa hiyo kufungua Bi. Harusi alinukuliwa na wanahabari akisema kuwa anampenda sana mume wake na anatarajia kuishi nae milele.

error: Content is protected !!