Meya wa Moshi avuliwa uongozi

HomeKitaifa

Meya wa Moshi avuliwa uongozi

Meya wa Manispaa ya Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro, Juma Raibu ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Boma Mbuzi amevuliwa cheo hicho na Bazara la Madiwani Manispaa hiyo leo Aprili 11, 2022 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuhudhuria sherehe ya mashoga.
Kati ya kura 28 zilizopigwa, kura 18 zimemtaka aachie kiti sawa na 64.3% na kura 10 zikiwa upande wake sawa na 35.7%
Raibu alialikwa na kukubali kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya kuzaliwa ya shoga mmoja na kuahidi kushirikiana, jambo ambalo jamii na viongozi wenzake hawaliafiki.
error: Content is protected !!