Mtoto mchanga wa marehemu Irene Ndyamkama

HomeKitaifa

Mtoto mchanga wa marehemu Irene Ndyamkama

Mtoto mchanga aliyeachwa na aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa (CCM) Marehemu Irene Ndyamkama, amefariki Dunia juzi Aprili 30, 2022, baada ya kuishi kwa siku saba.

Mbunge Irene alifariki Dunia Aprili 24, 2022, katika hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa matibabu na kuzikwa Aprili 29, 2022.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na familia, mazishi ya kichanga hicho yanatarajiwa kufanyika Dar Es Salaam.

error: Content is protected !!