TCRA yafunguka vifurushi kupanda

HomeKitaifa

TCRA yafunguka vifurushi kupanda

Baada ya kuibuka kwa malalamiko kuhusu wateja wa mitandao ya simu kununua vifurushi na kupata tofauti na kile walicholipia, Mamlaka ya Mawasiliano kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter umefunguka na kusema kama kuna mteja amekutana na changamoto hiyo basi awasiliane na mamlaka hayo haraka.

error: Content is protected !!