MunaLove ajuta

HomeBurudani

MunaLove ajuta

Msanii wa filamu za bongo na mjasiriamali Rose Alphonce maarufu kama Muna Love, amekiri kuwa mdhambi na kumsoea Mwenyezi Mungu kwa matendo yake baada ya kuchapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram picha akiwa amesujudu na kuandika maneno yakumuomba Mungu msamaha.

Hivi karibuni Muna aliripotiwa kuwa mgonjwa kwa kile kinachosemekana ni maradhi aliyopata baada ya kwenda kufanya operesheni ya kutengeneza baadhi ya maeno ya mwili wake ili aweze kuvutia zaidi kama mashavu kuweka mashimo (dimples) na kutengeza umbo lake.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by MUNALOVE (@munalove100)

 

error: Content is protected !!