Mwijaku atangaza nia

HomeBurudani

Mwijaku atangaza nia

Mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena Clouds Radio, Mwijaku ametangaza nia ya kuwa msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania wadhifa aliopewa Steve Nyerere na kuzua mijadala kwa wasanii na watu wengine mitandaoni.

Mwijaku ametangaza nia hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya wasanii kukaa na kutoa masaa 48 kwa shirikisho hilo kutafuta msemaji mpya anayekidhi vigezo vya nafasi hiyo na sio Steve Nyerere.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Mwijaku (@mwijaku)

error: Content is protected !!