Nandy: hawa kasuku wakue na sisi

HomeBurudani

Nandy: hawa kasuku wakue na sisi

Msanii wa bongo fleva nchini, Faustina Charles Mfinanga maarufu kwa jina la kisanii la Nandy, amemzawadia mume wake mtarajiwa William Nicholaus a.k.a Billnass zawadi ya kasuku wadogo wawili na kusema amempa kasuku hawa ili awatunze kama ambavyo anatunza penzi lao.

Nandy ameonyesha video ya kasuku hao wadogo na kuandika maneno yanayosema amempa zawadi hiyi ili awatunze kama ambayo anatunza penzi lao, awalee kasuku hao mpaka watakapo kua wakubwa.

error: Content is protected !!