Pasha afariki vitani

HomeKimataifa

Pasha afariki vitani

Muigizaji maarufu kutoka nchini Ukraine, Pasha li (33) amefariki akiwa vitani baada ya kushambuliwa na wanajeshi wa jeshi la Urusi katika mji wa Irpin uliopo magharibi mwa mji mkuu wa Kyiv nchini UKraine.

Pasha alijiunga na jeshi hilo baada ya Urusi kuivamia Ukraine hivyo alijitoa kuipigania nchi yake kwa kushiriki vita hiyo.

Katika ukurasa wake wa Instagram siku ya jumamosi, Pasha aliweka picha akiwa amevalia mavazi ya kijeshi na kuandika ujumbe ambao uliashiria kuwa ana amini vita hiyo itaisha na wataibuka washindi.

 

error: Content is protected !!