Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 2,244

HomeKitaifa

Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 2,244

Jumla ya wafungwa 2,244 watanufaika na msamaha uliotolewa leo na Rais Samia Suluhu ambapo 263 wataachiwa huru tarehe 09/12/2023, wafungwa wawili waliohukumiwa adhabu ya kifo wamebadilishiwa adhabu na kuwa kifungo cha maisha huku 1,979 wamepunguziwa sehemu ya adhabu zao ambazo wataendelea kuzitumikia gerezani.

MAMBO YA NDANI

 

error: Content is protected !!