Rais Samia Suluhu Hassan, amekutana na vijana wa Makachu katika eneo la pembezoni mwa Bustani ya Forodhani, Zanzibar, leo Agosti 10, 2026.
Mkutano huo umefanyika wakati Rais Samia akiendelea na shughuli zake Zanzibar, ambapo alitumia fursa hiyo kuzungumza na vijana hao na kupiga nao picha.





