Harmonize: anayeweza kuendeleza kipaji chake ajitokeze

HomeBurudani

Harmonize: anayeweza kuendeleza kipaji chake ajitokeze

Kupitia InstaStory yake @harmonize_tz amevunja ukimya juu ya sakata lake na @anjella_tz

Harmonize ameweka wazi kuwa amefika muda ameshindwa kuendelea ku-support kipaji cha @anjella_tz hivyo kwa yeyote mwenye uwezo anaruhusiwa kumshika mkono msanii huyo bila pingamizi.

Harmonize amemalizia kwa kuandika kuwa hajawahi kusai malipo yeyote kutoka kwa Anjella kama malipo ya kuachana na lebo hiyo na kuziita kuwa hizo ni siasa tu.

error: Content is protected !!