Rick Ross na funguo ya mil.58

HomeBurudani

Rick Ross na funguo ya mil.58

Msanii wa hip hop kutokea nchini Marekani, Rick Ross ameonesha ufunguo wake wa almasi wenye thamani ya Sh, Milioni 58 za kitanzania.

Rick Ross amesema kuwa atatoa funguo tatu kati ya hizo ambazo pia zinaweza kuvaliwa kama cheni, kwenye onesho lake la magari linalotarajiwa kufanyika Mei 21, mwaka huu.

Watu wengi wamehoji kwanini ameamua kutengeneza funguo ya almasi yenye thamani kiasi hicho kwani si jambo la kawaida.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Biggest Boss Rick Ross (@richforever)

 

error: Content is protected !!