Rihanna na ASAP: Maji tayari yamemwagika

HomeBurudani

Rihanna na ASAP: Maji tayari yamemwagika

Tetesi zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii hasa Twitter ni kwamba mwanamitindo na muimbaji Rihanna ameachana na mchumba wake Rapa ASAP Rocky baada ya kumfumania na mmoja wa wanamitindo wa kampuni ya Fenty inayomilikiwa na Rihanna.

Tukio hilo linasemekana kutokea wiki iliyopita kwenye hafla moja ya mitindo jijini Paris.

Hizi ni baadhi ya taarifa kutoka kwa watu maarufu twitter:

Ingawa bado taarifa kamili hazijatoka, baadhi ya mashabiki wamelaani kitendo hiki kwa kuwa sasa Rihanna ni mjamzito hivyo hawajapenda kitendo cha ASAP Rocky kuchepuka.

 

 

error: Content is protected !!