Rostam Aziz awa mmiliki mpya wa Tigo na Zantel

HomeBiashara

Rostam Aziz awa mmiliki mpya wa Tigo na Zantel

Mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Aziz na muungano wa kampuni ya Axian Group Ltd ya Madagascar wamekamilisha ununuzi wa Tigo Tanzania na Zantel.

Rasmi sasa Rostam sasa anakuwa Mwenyekiti wa kampuni mama ya Tigo, MIC Tanzania.

error: Content is protected !!