Tag: Bunge la Tanzania
Magazeti ya leo Oktoba 13,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Oktoba 13,2022.
[...]
Ziara ya Rais Samia Kigoma
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Kigoma, kuanzia tarehe 16 hadi 19 mwezi huu.
Akitoa taarifa kwa vyo [...]
Sonona inavyoathiri wanawake kiakili
Watu milioni nchini wanaishi na ugonjwa wa sonona huku wengi wao wakiwa wanawake.
Kauli hiyo imetolewa jana Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Ummy M [...]
Tanzania na Kenya zapanga kuondoa vikwazo 14 vya biashara
Huenda uchumi wa Tanzania na Kenya ukakua zaidi kwa siku za usoni mara baada ya viongozi wakuu wa mataifa hayo kuwaagiza mawaziri wa biashara na uweke [...]
Fahamu chanzo cha kufeli kwa wanafunzi wa Shule ya Sheria
Anguko kwenye mtihani wa uwakili katika Shule Kuu ya Sheria Tanzania (LST) limefikia hatua mbaya na kuwaibua wanasheria na wadau wakitaka utafiti ufan [...]
Rais Ruto kuwasili Tanzania leo
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto anatarajiwa kuwasili nchini leo jioni kwa ziara ya kikazi ya siku mbili (tarehe 09-10,Oktoba 2 [...]
Watumiaji wa usafiri wa anga waongezeka
Idadi ya abiria wanaotumia usafiri wa anga nchini Tanzania imeongezeka kwa asilimia 38 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja, baada ya kuimarishwa kwa mapa [...]
Mabilioni ya Benki ya Dunia kuifanya Jangwani kuwa ya kijani
Benki ya Dunia imetoa mkopo wa Dola za Marekani milioni 200 (Sh bilioni 466.387) kugharamia mradi wa Bonde la Msimbazi ili kuepuka mafuriko na kuliwez [...]
Magazeti ya leo Oktoba 6,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Oktoba 6,2022.
[...]
Vibanda umiza kusajiliwa na serikali
Bodi ya Filamu Tanzania imeanza uhakiki wa vibanda umiza vilivyopo mtaani lengo ni kuvisajili na kuweka utaratibu wa undeshaji.
Pia wameunda Kamati [...]

