Tag: Bunge la Tanzania
Reli katikati ya maji kujengwa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linafanya utafiti wa kuwa na reli katikati ya maji likiwamo la Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma na kuziunganisha na viwa [...]
Rais wa zamani wa Angola afariki dunia
Rais wa zamani wa Angola Jose Eduardo dos Santos, ambaye alitawala nchi ya pili kwa uzalishaji mafuta barani Afrika kwa takriban miongo minne, amefari [...]
Mahakama yakubali ombi la kina Mdee
Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee na wenzake 18 wamekibwaga Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya Mahakama Kuu Masijala Kuu kukubali [...]
Tanzania yapongezwa mikakati muziri ya uchanjaji
Mratibu wa Kimataifa wa Mapambano dhidi ya UVIKO-19 kutoka umoja wa Mataifa Dkt Ted Chaiban ameipongeza Tanzania kwa kuendeleza mapambano dhidi ya UVI [...]
Mafuta ya kula yashuka bei
Waswahili wanasema baada ya dhiki faraja, hivyo ndivyo tunavyoweza kusema baada ya bei ya mafuta kuanza kushuka kwenye baadhi ya maeneo nchini.
Bei [...]
Kiswahili lugha ya biashara Afrika
Wakati nchi wanachama wa jumuiya hiyo wakikutana leo Zanzibar katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Kiswahili duniani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Af [...]
Fedha za Uviko zaingiza shule 10 bora
Ilikua vigumu sana kwa watu wengi kuelewa uamuzi uliochukuliwa na Rais Samia Suluhu juu ya fedha za mkopo zilizotolewa na IMF za mapambano dhidi ya Uv [...]
Mauzo ya nyama nje yapaa
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imesema ndani ya miezi sita mwaka huu Tanzania imeuza nyama tani 10,000 katika nchi za Bara la Asia na kuvunja rekodi ya mwa [...]
Raia 57 wa Kenya wanaswa katika operesheni ya Loliondo
Operesheni Maalum ya siku 10 iliyofanywa na Jeshi la Uhamiaji katika Tarafa za Sale na Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha, imewanasa watu 72 w [...]
Hizi hapa Bei mpya za mafuta
Hizi hapa bei mpya za mafuta kwa Tanzania .
[...]

