Tag: Bunge la Tanzania
Magazeti ya Leo Jumatano, Septemba 01, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumatano, Septemba 01, 2021.
[...]
Naomba radhi : Spika Ndugai
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaomba radhi Wakristo na Watanzania wote kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni leo.
Kat [...]
Tozo za miamala zapunguzwa
Taarifa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango inaeleza kwamba Serikali imefanya marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya Kielektroniki za kutuma na kut [...]
Hatma ya pingamizi la Mbowe Septemba Mosi
Makama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumi Uchumi kesho Septemba 1, 2021 itaamua pingamizi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake [...]
Wasemayo wananchi sakata la Gwajima na Silaa
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameadhibiwa na Bunge baada ya kukutwa na hatia ya kulidharau na kuhususha hadhi ya Bunge. Askofu Gwajima ameta [...]

