Tag: Freeman Mbowe
Magazeti ya leo Aprili 25,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Aprili 25,2023.
[...]
Nafasi za kazi Wizara ya Afya
Wizara ya Afya imetangaza nafasi za ajira 247 zikihusisha madakitari bingwa 30, baada ya kupata Kibali cha Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa U [...]
Magazeti ya leo Aprili 21,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Aprili 21,2023.
[...]
Nafasi 1,152 za ajira
Mwisho wa maombi ni tarehe 25 Aprili 2023. Kusoma Maelezo kamili, kutuma maombi, tembelea linki hapa chini:
[...]
Magazeti ya leo Aprili 19,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Aprili 19,2023.
[...]
Madini ya kinywe na adimu kuvutia uwekezaji nchini
Serikali inatarajia kuvutia uwekezaji wa Dola za Marekani milioni 667 sawa na Sh1.5 trilioni baada ya kuanza kuchimba na kuchakata madini ya kinywe na [...]
Tanzania kinara kwa idadi ya simba dunia
Waziri wa Maliasili na utalii, Mohamed Mchengerwa amesema kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza dunia kuwa na idadi kubwa ya simba zaidi ya 17,000.
Mchen [...]
Uchumi wa Tanzania kuupita wa Kenya ifikapo 2028
Kinyanga'nyiro cha ukuu wa kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki kinatarajiwa kuchukua mkondo wa ushindani zaidi huku makadirio yakionyesha Tanza [...]
Muungano 2023 kusherekewa kipekee
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 2023 yatafanyika katika ngazi y [...]
Rais Samia apongezwa kwa hatua alizochukua ripoti ya CAG
Baada ya dosari nyingi kufichuliwa na ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, watoa maoni mbalimbali wamehusi [...]