Tag: Freeman Mbowe

1 40 41 42 43 44 99 420 / 984 POSTS
Zuchu amshtaki Ostaz Juma TCRA

Zuchu amshtaki Ostaz Juma TCRA

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii kutoka lebo ya Wasafi ameweka wazi kwamba amemshtaki Ostaz Juma, TCRA baada ya kumdhihaki na kuongea maneno [...]
Uber na Bolt kurejesha huduma

Uber na Bolt kurejesha huduma

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafir [...]
Kikwete ampa tano Rais Samia Suluhu

Kikwete ampa tano Rais Samia Suluhu

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuunda kikosi kazi cha ukusanyaji wa maoni, kuhusu [...]
Hatua atakazo fanya Mfalme Charles III

Hatua atakazo fanya Mfalme Charles III

Kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth, Mkuu wa zamani wa Wales, Charles, amerithi kiti cha ufalme bila sherehe yoyote. Hata hivyo, kuna idadi ya hatua za [...]
Watanzania milioni 5.5 ni mbumbumbu

Watanzania milioni 5.5 ni mbumbumbu

 Wakati dunia leo akiadhimisha siku ya  Kimataifa ya Kusoma na Kuandika, Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco) limesema [...]
Maelekezo ya CCM kwa Serikali

Maelekezo ya CCM kwa Serikali

Malalamiko ya utitiri wa kodi hususani za miamala ya simu na ya kibenki, Kamati  Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa iliyokutana [...]
Vituo 10 vya Afya Dar vimejengwa kwa fedha za tozo ya miamala ya simu

Vituo 10 vya Afya Dar vimejengwa kwa fedha za tozo ya miamala ya simu

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya hususani Ujenzi wa Vit [...]
Tanzania kumpa ushirikiano Ruto

Tanzania kumpa ushirikiano Ruto

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema ataendelea kufanya kazi na Rais mteule wa Kenya, Dk. William Ruto, kudumisha uhusiano wa kihistoria na undugu baina [...]
Magazeti ya leo Septemba 6,2022

Magazeti ya leo Septemba 6,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Septemba 6,2022. [...]
Maendeleo ujenzi Daraja la JPM yamridhisha Kinana

Maendeleo ujenzi Daraja la JPM yamridhisha Kinana

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Magufuli lililopo maeneo ya Kigongo Busisi mkoani Mwanza Daraja hilo l [...]
1 40 41 42 43 44 99 420 / 984 POSTS
error: Content is protected !!