Tag: Freeman Mbowe
TAHADHARI: Mlipuko wa Kipindupindu
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametahadharisha kuwapo mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika baadhi ya mikoa na kuwataka Watanzania kuzingatia usafi [...]
Namba za kupiga kuhesabiwa sensa
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022,Mheshimiwa Anne Makinda amesema asilimia 93.45 ya kaya zote Tanzania zilikuwa zimehesabiwa hadi kufikia asubuh [...]
CCM yapongeza jitihada za Rais Samia kuiwezesha DIT
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua zinazochukul [...]
Maagizo ya Rais Samia kwa Kamishna Jenerali Mzee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemtaka Kamishna Jenerali wa Magereza Mzee Ramadhan Nyamka kwenda kufanya kazi kwa [...]
Msako mifuko ya plastiki kuanza leo
Msako wa kukamata mifuko ya plastiki katika masoko jiji la Dar es Salaam unaanza leo. Wiki iliyopita Mkuu wa Mkoa huo, Amos Makalla alitoa agizo hilo [...]
Kosa la jinai kupiga picha na karani wa sensa
Serikali imeonya makarani wa sensa ya watu na makazi waache kupiga picha na wananchi wanapoifanya kazi hiyo.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk Albina C [...]
Nani alipe kodi ya pango?
Kutokana na mjadala mpana unaondelea kuhusiana na kodi ya pango ya asilimia 10 inayopaswa kulipwa na wapangaji wa nyumba binafsi, Mamlaka ya Mapato [...]
UTAFITI TWAWEZA : Fursa nyingi za ajira zinapatikana vijijini
Taasisi isiyo ya kiserikali ya TWAWEZA imesema utafiti uliofanyika hivi karibuni kwa njia ya simu ambapo jopo la wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu umeon [...]
Magazeti ya leo Agosti 27,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Agosti 27,2022.
[...]
Mapya kwenye iPhone 14
Kampuni ya Apple itazindua simu mpya ya iPhone 14 mapema mwezi ujao ambayo inatajiwa kuja na mambo mbalimbali mazuri ikiwemo kuboresho muundo na kamer [...]