Tag: Freeman Mbowe
Mchechu: Taasisi zote za umma zitaanza kuchapisha taarifa za kifedha
Serikali ya Tanzania, kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina, imetangaza kuwa taasisi zote za umma nchini zitaanza kuchapisha taarifa zao za kifedha.
M [...]
Siku nne Katavi: Rais Samia aridhishwa na maendeleo
Rais Samia Suluhu Hassan amemaliza ziara yake ya siku nne mkoani Katavi akieleza kuridhishwa na maendeleo yaliyopatikana na matumizi bora ya fedha kut [...]
Serikali yajivunia mafanikio na miradi ya maendeleo Katavi
Katavi, Tanzania – Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kudumisha usalama na utulivu ndani ya mipaka yake, huku ikijivunia mafanikio [...]
Shilingi bilioni 2 za kuwasha majenereta Katavi zaokolewa
Rais Samia Suluhu Hassan ametembela Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme wa Gridi wa Taifa kilichopo Inyonga mkoani Katavi na kisha kuzungumza na wananch [...]
Orodha ya wafanyabiashara waliokidhi vigezo vya kurejeshwa Soko la Kariakoo
Shirika la Masoko ya Kariakoo linautangazia umma orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo baada [...]
Rais Samia kugharamia matibabu ya Sativa
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kugharamia matibabu ya Edgar Mwakabela maarufu kama [...]
Falsafa ya 4Rs: Rais Samia Suluhu na mwelekeo mpya wa uongozi Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hivi karibuni alitoa mhadhara muhimu wenye mada ya Falsafa ya 4Rs katika Chuo Cha Taifa [...]
Tamko la Serikali kuhusu mauaji ya albino
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo tarehe 20 Juni 2024 ametoa taarifa ya Serikali Bungeni kuhusu kupinga ukatili dhidi ya watu wenye Ualbino.
20.06.20 [...]
Watalii wa kimataifa wamiminika Tanzania kwa ongezeko la 22%
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia ripoti yake ya mwezi Mei 2024 inaonyesha ukuaji wa sekta ya utalii na namna inavyoendelea kuvunja rekodi kwa ujio [...]
Bia, michezo ya kubahatisha kugharamia bima ya afya kwa wote
Serikali imependekeza ongezeko la ushuru kwa viwango tofauti kwenye michezo ya kubahatisha, bidhaa za urembo, vinywaji laini, bia na pombe kali ili ku [...]