Tag: habari kubwa za michezo
Tanzania kinara kwa uhuru wa vyombo vya habari Afrika Mashariki
Tanzania imekuwa nchi bora yenye uhuru wa vyombo vya habari katika ukanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya maboresho yaliyofanywa na Serikali y [...]
Marufuku kuvuta sigara hadharani
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act [...]
Rais Samia: tudumishe muungani wetu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehutubutia taifa kuhusu miaka 60 ya Muungano huku akisisitiza katika kudumish [...]
Rais Samia: tuwaenzi waasisi wetu kwa vitendo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania wote kuenzi kwa vitendo muungano ulioanzishwa na waa [...]
Rais Samia awakaribisha Waturuki kuwekeza nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Uturuki kuwekeza nchini Tanzani [...]
Tanzania na Uingereza kuendeleza ushirikiano sekta za kiuchumi
Serikali ya Tanzania na Uingereza zimesaini Makubaliano ya Kukuza Ushirikiano (Mutual Prosperity Partnership) yanayolenga kuchochea maendeleo katika s [...]
Rais Samia : Ripoti ya CAG ipatiwe majibu
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kuhakikisha wanapitia na kufanyia kazi ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ili kuji [...]
Treni ya mchongoko yawasili
Serikali imepokea seti ya kwanza ya treni ya umeme ya ‘Electric multiple unit’ (EMU) yenye vichwa vitano mchomoko na mabehewa matatu, Waziri wa Uchuku [...]
Rais Samia asamehe faini za bili za maji
Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassani ameelekeza Wizara ya Maji kupitia Mamlaka za Maji kutoa hamasa kwa Wateja wake kwa kusamehe madeni yao na k [...]
Miaka mitatu ya Rais Samia madarakani
Rais Samia Suluhu Hassan ameiadhimisha miaka yake mitatu tangu aapishwe kuwa Kiongozi wa Nchi kwa kutoa shukurani kwa salamu za heri alizopokea huku a [...]

